Thursday, August 12, 2010

SAMUEL SITTA NA ROSTAM AZIZI WAKITETA JAMBO


Viongozi hawa; Spika wa Bunge, Samuel Sitta akiteta na Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma jana.

1 comment:

  1. Wanasema hivi:

    Sitta: Kweli Rostam unaweza kunifanyia haya, hadi mke wangu anakamatwa?
    Rostam: Yapi Mzee? Hao ni KAKUKURU mimi nahusikaje?
    Sitta: Najua bila wewe haya yasingewezekana, umemwaga pesa nyingi.
    Rostam: Ningemwaga pesa hata wewe ungekamatwa, kubali yaishe, sisi soye ni Wanyamwezi. Mwangaluka baba.

    Mkuu karibu kwenue uringo wa blog, lakini usiiingie mitini kama baadhi ya watu.

    ReplyDelete